We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

Über Mauzo

Diese Anwendung wird verwendet, um kleine Unternehmen zu verwalten.

Mauzo App ni Anwendung inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na Matumizi. Itakusaidia kujua kama Biashara yako inatengeneza faida.

Hutumika katiika Biashara Ndogo na za kati zinazojiusisha na na kununua kuuza bidhaa, kutengeneza na kuuza bidhaa au kutoa huduma

Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika Wakati wa kujisajili na Wakati wa kufanya Sicherung.

Taarifa (Daten) zako zinatunzwa kwenye simu Yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako wewe.

Was ist neu in der neuesten Version 1.5.2

Last updated on May 3, 2021

Tumefanya mabolesho makubwa katika app hii ili kuendana na mahitaji ya wateja wetu. Miongoni mwa maboresho yaliyofanyika ni pamoja na;-
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.

Endelea kufurahia huduma hii. Asante!

Übersetzung wird geladen...

Zusätzliche APP Informationen

Aktuelle Version

Mauzo Update anfordern 1.5.2

Von hochgeladen

Kwee Chaw

Erforderliche Android-Version

Android 4.4+

Mehr anzeigen

Mauzo Screenshots

Abonnieren Sie APKPure
Erhalten Sie als der Erste den Zugang zu Vorabversionen, Neuigkeiten und Anleitungen der besten Android-Spiele und -Apps.
Nein, danke
Anmeldung
Erfolgreich abonniert!
Sie haben jetzt APKPure abonniert.
Abonnieren Sie APKPure
Erhalten Sie als der Erste den Zugang zu Vorabversionen, Neuigkeiten und Anleitungen der besten Android-Spiele und -Apps.
Nein, danke
Anmeldung
Erfolg!
Sie sind jetzt unseren Newsletter abonniert.