We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

Over Mauzo

Deze toepassing wordt gebruikt om kleine bedrijf te beheren.

Mauzo App ni toepassing inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na Matumizi. Itakusaidia kujua kama Biashara yako inatengeneza faida.

Hutumika katiika Biashara Ndogo na za kati zinazojiusisha na kununua na kuuza bidhaa, kutengeneza na kuuza bidhaa au kutoa huduma

Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika Wakati wa kujisajili na Wakati wa kufanya Backup.

Taarifa (data) zako zinatunzwa kwenye Simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako Wewe.

Wat is er nieuw in de nieuwste versie 1.5.2

Last updated on May 3, 2021

Tumefanya mabolesho makubwa katika app hii ili kuendana na mahitaji ya wateja wetu. Miongoni mwa maboresho yaliyofanyika ni pamoja na;-
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.

Endelea kufurahia huduma hii. Asante!

Vertaling Laden...

Aanvullende APP -informatie

Laatste Versie

Verzoek update van Mauzo 1.5.2

Geüpload door

Kwee Chaw

Android vereist

Android 4.4+

Meer Info

Mauzo Screenshots

Abonneer u op APKPure
Wees de eerste die toegang krijgt tot de vroege release, nieuws en gidsen van de beste Android -games en apps.
Nee bedankt
Aanmelden
Succesvol ingeschreven!
Je bent nu geabonneerd op APKPure.
Abonneer u op APKPure
Wees de eerste die toegang krijgt tot de vroege release, nieuws en gidsen van de beste Android -games en apps.
Nee bedankt
Aanmelden
Succes!
Je bent nu geabonneerd op onze nieuwsbrief.