Use APKPure App
Get Mauzo old version APK for Android
Aplikasi ini digunakan untuk mengelola usaha kecil.
Mauzo App aplikasi ni inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na Matumizi. Itakusaidia kujua kama biashara yako inatengeneza Faida.
Hutumika katiika biashara ndogo na za kati zinazojiusisha na kununua na kuuza bidhaa, kutengeneza na kuuza bidhaa au kutoa huduma
Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakati wa kujisajili na wakati wa kufanya Backup.
Taarifa (data) Zako zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako wewe.
Last updated on May 3, 2021
Tumefanya mabolesho makubwa katika app hii ili kuendana na mahitaji ya wateja wetu. Miongoni mwa maboresho yaliyofanyika ni pamoja na;-
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.
Endelea kufurahia huduma hii. Asante!
Diunggah oleh
Kwee Chaw
Perlu Android versi
Android 4.4+
Kategori
Laporkan
Mauzo
1.5.2 by diioTZ Labs
May 3, 2021