Use APKPure App
Get Nyimbo Za Kristo old version APK for Android
Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lugha ya kiswahili.
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na TAISTNZANPRIA
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahushisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa 창백한 unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti(hymnserve.com 덕분에
반주).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• 이나쿠웨제샤 쿠오나 윔보 우나오체자
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
이나파야.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa
우투쿠후와 문구.
업로드한 사람
Ðiðiń Båñdįcøt
필요한 Android 버전
Android 5.0+
카테고리
26.2 MB Dec 29, 2024
26.2 MB Dec 29, 2024
20.0 MB Jul 8, 2024
20.0 MB Jul 8, 2024
19.6 MB Nov 22, 2023
19.6 MB Nov 22, 2023
Use APKPure App
Get Nyimbo Za Kristo old version APK for Android
Use APKPure App
Get Nyimbo Za Kristo old version APK for Android