ناکالہ یا نیمبو زا ابادہ زا واڈونٹیسٹا واسباٹو کوا لوغا یا کسوہیلی۔
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Ki Swahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na tanZANISTANIA ()۔
پروگرامو ہی آئی آئی مینڈالیوا کوکوویزشا کموامودو منگو کوا نجیا یا اوئمباجی محلی پوپوٹے نا مودا وووٹے، نیامبو زا کبرودیشا، کوٹیا مویو نا کوکوفارجی وکاتی و ہوزونی۔
سیف زا پروگرام نی کام زیفوٹازو:-
• Inahushisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (کے لیے hymnserve.com کا شکریہ
ساتھی)۔
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa mandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
پروگرامو hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa
utukufu wa Mungu.