Kuwa hodari katika mapishi ya aina mbalimbali.
Ni programu inayo kufundisha jinsi ya kupika mapishi ya aina mbali mbali hasa yale ya kiasili na yale ya kigeni pia kuandaa vinywaji vya aina mbali mbali.Hakuna haja ya kumuuliza mtu endapo utakuwa na program hii.Inatoa viungo na kila kitu utakacho hitaji kikubwa zaidi inakupa hatua kwa hatua ya jinsi ya kupika chakula ukitakacho.Mengenai Jifunze Mapishi
Maklumat APLIKASI tambahan
Dimuat naik oleh
Emilio Luna
Memerlukan Android
Android 4.0+
Category
Tunjukkan Lagi