Kuwa hodari katika mapishi ya aina mbalimbali.
Ni programu inayo kufundisha jinsi ya kupika mapishi ya aina mbali mbali hasa yale ya kiasili na yale ya kigeni pia kuandaa vinywaji vya aina mbali mbali.Hakuna haja ya kumuuliza mtu endapo utakuwa na program hii.Inatoa viungo na kila kitu utakacho hitaji kikubwa zaidi inakupa hatua kwa hatua ya jinsi ya kupika chakula ukitakacho.เกี่ยวกับ Jifunze Mapishi
ข้อมูล แอป เพิ่มเติม
อัปโหลดโดย
Emilio Luna
ต้องใช้ Android
Android 4.0+
Category
แสดงเพิ่มเติม