Use APKPure App
Get Mkulima Mbunifu old version APK for Android
App inayotoa mafunzo yanayomuwezesha Mkulima katika nyanja mbalimbali kiuchumi.
App inayotoa mafunzo op Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri en Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
E-mail: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
************************************************** ***************
Android-oplossingen.
Ontworpen door;
Mshindo Android-oplossingen.
WhatsApp: +255 762 799 080.
E-mail: agrotanzania.care@gmail.com
Geüpload door
Serban Mario Gabriel
Android vereist
Android 4.4+
Categorie
Use APKPure App
Get Mkulima Mbunifu old version APK for Android
Use APKPure App
Get Mkulima Mbunifu old version APK for Android