下載 APKPure App
可在安卓獲取Mkulima Mbunifu的歷史版本
應用程式inayotoa mafunzo yanayomuwezesha Mkulima katika nyanja mbalimbali kiuchumi。
App inayotoa mafunzo na Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo。
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini。 Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira Yetu。
.
.
Mategemeo Yetu utanufaika kwa mafunzo Yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video。
.
.
Pia unaweza kututembelea katika 網站 Yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org。 Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'。
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni,Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano Yetu。
電子郵件:agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp:+255 762 799 080
.
****************************************************** ***************
安卓解決方案。
設計者;
Mhindo Android 解決方案。
WhatsApp:+255 762 799 080。
電子郵件:agrotanzania.care@gmail.com