Shule Direct Kids


1.8.12 por Shule Direct Limited
May 28, 2024 Versões Antigas

Sobre Shule Direct Kids

Chemsha bongo ujifunze KUSOMA KUANDIKA na KUHESABU bure!

Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzânia. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tanzânia.

Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto. App hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni.

FAIDA ZA SHULE DIRETO KIDS

- Kupenda kujifunza

- Kujifunza kwa Uhuru, Muda Wowote, Mahali Popote

- Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7

- Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake

- Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi

- Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu

- Kuongeza Ufaulu

Pakua Shule Direct Kids App como BURE!

KUHUSU SHULE DIRETO

Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzânia lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekonyari ili kuongeza ufaulu. Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa elimu ya msingi na se. Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo aplicação za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa offline Learning Management System (LMS) como njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS).

WASILIANA NASI

Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia info@shuledirect.org Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzânia.

Novidades da Última Versão 1.8.12

Last updated on Feb 20, 2022
Removing school input during the registration

Informações Adicionais do Aplicativo

Última versão

1.8.12

Enviado por

Nan Nyuntkyi

Requer Android

Android 4.1+

Disponível em

Relatório

Marcar como inapropriado

Mostrar mais

Usar o APKPure APP

Obter o APK da versão antiga de Shule Direct Kids para Android

Baixar

Usar o APKPure APP

Obter o APK da versão antiga de Shule Direct Kids para Android

Baixar

Alternativa de Shule Direct Kids

Obtenha mais de Shule Direct Limited

Descobrir