Shule Direct Kids


1.8.12 by Shule Direct Limited
2024年05月28日 歷史版本

關於Shule Direct Kids

Chemsha 邦戈 ujifunze KUSOMA KUANDIKA na KUHESABU bure!

Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania。 App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tanzania。

Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto。 App hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni。

FAIDA ZA SHULE DIRECT KIDS

- Kupenda kujifunza

- Kujifunza kwa Uhuru、Muda Wowote、Mahali Popote

- Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7

- Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake

- Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi

- Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu

- Kuongeza ufaulu

Pakua Shule Direct 兒童應用程序 sasa BURE!

庫胡蘇舒樂直銷

Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini 坦桑尼亞 lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari ili kuongeya uokeli. Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa elimu ya msingi na。 Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo 應用程序 za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa 離線學習管理系統 (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS)。

瓦西利亞納納西

Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia info@shuledirect.org Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzania。

最新版本1.8.12更新日誌

Last updated on 2022年02月20日
Removing school input during the registration

更多應用信息

最新版本

1.8.12

上傳者

Nan Nyuntkyi

系統要求

Android 4.1+

Available on

舉報

舉報不當內容

更多

下載 APKPure App

可在安卓獲取Shule Direct Kids的歷史版本

下載

下載 APKPure App

可在安卓獲取Shule Direct Kids的歷史版本

下載

Shule Direct Kids相關應用

Shule Direct Limited 開發者的更多應用

最新發現