Shule Direct Kids


1.8.12 por Shule Direct Limited
28/05/2024 Versiones antiguas

Sobre Shule Direct Kids

Chemsha bongo ujifunze KUSOMA KUANDIKA na KUHESABU bure!

Shule Direct Kids ni aplicación iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tanzania.

Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto. Aplicación hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni.

NIÑOS DIRECTOS FAIDA ZA SHULE

- Kupenda kujifunza

- Kujifunza kwa Uhuru, Muda Wowote, Mahali Popote

- Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7

- Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake

- Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi

- Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu

-Kuongeza ufaulu

Aplicación directa para niños Pakua Shule sasa BURE!

KUHUSU SHULE DIRECTO

Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari ili kuongeza ufaulu na matokeo chanya ya elimu. Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa elimu y msingi na sekondari. Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo application za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa offline Learning Management System (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS).

WASILIANA NASI

Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia info@shuledirect.org Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzania.

Novedades de Última Versión 1.8.12

Last updated on 20/02/2022
Removing school input during the registration

Información Adicional de Aplicación

Última Versión

1.8.12

Presentado por

Nan Nyuntkyi

Requisitos

Android 4.1+

Disponible en

Reportar

Marcar como inapropiado

Mostrar más

Usar la aplicación APKPure

Obtener Shule Direct Kids versión histórica en Android

Descargar

Usar la aplicación APKPure

Obtener Shule Direct Kids versión histórica en Android

Descargar

Alternativa de Shule Direct Kids

Obtenga más de Shule Direct Limited

Descubrir