We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

Über Momoa

Endesha biashara yako ya uwakala kidigitali.

Momoa ni App inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu.

Kupitia-App von Momoa:

💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash)

💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja)

💸 Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja)

👦🏼 Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu

🚨 Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi, na kuweza kuona kama hesabu zimebalance au laa.

⏮ Wakala anaweza kuangalia historia au ripoti ya nyuma ya miamala yote, hesabu alivoanza na alivofunga siku.

✍️ Wakala Anaweza kuedit float au Cash. Hii ni kusaidia kama karushiwa float na wakala mwenzake au kafanya muamala kwa njia ya bank.

∞ Wakala anaweza kuongeza mtandao au bank kwa kadri ya awezavyo, na atatakiwa kujaza float iliyopo katika kila mtandao.

💙 Tunawapenda mawakala na Thunfisch matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi, rahisi na haraka.

👋Karibu Momoa. Kama unakitu unatamani tuboreshe au kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255 682 411 725 (Anruf oder WhatsApp)

Was ist neu in der neuesten Version 1.4.7

Last updated on Sep 27, 2024

Now you can delete a transaction and select customer on new transaction

Übersetzung wird geladen...

Zusätzliche APP Informationen

Aktuelle Version

Momoa Update anfordern 1.4.7

Von hochgeladen

Ady Adrian

Erforderliche Android-Version

Android 6.0+

Available on

Erhalt Momoa auf Google Play

Mehr anzeigen

Momoa Screenshots

Abonnieren Sie APKPure
Erhalten Sie als der Erste den Zugang zu Vorabversionen, Neuigkeiten und Anleitungen der besten Android-Spiele und -Apps.
Nein, danke
Anmeldung
Erfolgreich abonniert!
Sie haben jetzt APKPure abonniert.
Abonnieren Sie APKPure
Erhalten Sie als der Erste den Zugang zu Vorabversionen, Neuigkeiten und Anleitungen der besten Android-Spiele und -Apps.
Nein, danke
Anmeldung
Erfolg!
Sie sind jetzt unseren Newsletter abonniert.