Use APKPure App
Get Momoa old version APK for Android
엔데샤 바이어스하라 야코야 우와칼라 키디지탈리.
Momoa ni 앱 inayyomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu.
Kupitia 앱 나중에 Momoa:
💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea 현금)
💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja)
💸 Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja)
👦🏼 Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu
🚨 Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi, na kuweza kuona kama hesabu zimebalance au laa.
⏮ Wakala anaweza kuangalia historia au ripoti ya nyuma ya miamala yote, hesabu alivoanza na alivofunga siku.
✍️ Wakala anaweza kuedit float au 현금. Hii ni kusaidia kama karushiwa float na wakala mwenzake au kafanya muamala kwa njia ya bank.
∞ Wakala anaweza kuongeza mtandao au bank kwa kadri ya awezavyo, na atatakiwa kujaza float iliyopo katika kila mtandao.
💙 Tunawapenda mawakala na tuna matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi, rahisi na haraka.
👋카리부 모모아. Kama unakitu unatamani tuboreshe au kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255 682 411 725 (전화 또는 Whatsapp)
Last updated on Sep 27, 2024
Now you can delete a transaction and select customer on new transaction
업로드한 사람
Ady Adrian
필요한 Android 버전
Android 6.0+
카테고리
신고
Momoa
1.4.7 by Swahilies
Sep 27, 2024