We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

Over Momoa

Endesha biashara yako ya uwakala kidigitali.

Momoa ni app inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu.

Kupitia app ya Momoa:

💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash)

💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja)

💸 Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja)

👦🏼 Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu

🚨 Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi, na kuweza kuona kama hesabu zimebalance au laa.

⏮ Wakala anaweza kuangalia historia au ripoti ya nyuma ya miamala yote, hesabu alivoanza na alivofunga siku.

✍️ Wakala anaweza kuedit float au Cash. Hii ni kusaidia kama karushiwa float na wakala mwenzake au kafanya muamala kwa njia ya bank.

∞ Wakala anaweza kuongeza mtandao au bank kwa kadri ya awezavyo, na atatakiwa kujaza float iliyopo katika kila mtandao.

💙 Tunawapenda mawakala op tonijn matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi, rahisi na haraka.

Karibu Momoa. Kama unakitu unatamani tuboreshe au kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255 682 411 725 (bel of whatsapp)

Wat is er nieuw in de nieuwste versie 1.4.7

Last updated on Sep 27, 2024

Now you can delete a transaction and select customer on new transaction

Vertaling Laden...

Aanvullende APP -informatie

Laatste Versie

Verzoek update van Momoa 1.4.7

Geüpload door

Ady Adrian

Android vereist

Android 6.0+

Available on

Verkrijg Momoa via Google Play

Meer Info

Momoa Screenshots

Abonneer u op APKPure
Wees de eerste die toegang krijgt tot de vroege release, nieuws en gidsen van de beste Android -games en apps.
Nee bedankt
Aanmelden
Succesvol ingeschreven!
Je bent nu geabonneerd op APKPure.
Abonneer u op APKPure
Wees de eerste die toegang krijgt tot de vroege release, nieuws en gidsen van de beste Android -games en apps.
Nee bedankt
Aanmelden
Succes!
Je bent nu geabonneerd op onze nieuwsbrief.