Usar la aplicación APKPure
Obtener UMOJA RADIO versión histórica en Android
UMOJA RADIO
Umoja Radio ni kituo cha matangazo ya kiswahili nchini Uholanzi. Moja ya malengo yetu ni kudumisha na kuendeleza lugha yetu ya kiswahili ulimwenguni pote.Lengo lingine ni kusaidia wajane, mayatima kuhusu mambo ya elimu na maitaji mengine. Pia kuonyesha umuhimu wa mila za ki Afrika kwa wazungu na wa Afrika kutambua mila nzuri na potovu za wazungu. Lengo lingine ni kuhunganisha watu kwa pamoja kupitia Radio, mikutano na mafunzo mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya jamii.Last updated on 17/03/2019
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Presentado por
ေကာင္းကင္ထက္က ႀကယ္စင္လရိပ္
Requisitos
Android 4.0.3+
Categoría
Reportar
UMOJA RADIO
2.6 by MediaHosting LTD
17/03/2019