下載 APKPure App
可在安卓獲取UMOJA RADIO的歷史版本
巫魔RADIO
Umoja Radio ni kituo cha matangazo ya kiswahili nchini Uholanzi. Moja ya malengo yetu ni kudumisha na kuendeleza lugha yetu ya kiswahili ulimwenguni pote.Lengo lingine ni kusaidia wajane, mayatima kuhusu mambo ya elimu na maitaji mengine. Pia kuonyesha umuhimu wa mila za ki Afrika kwa wazungu na wa Afrika kutambua mila nzuri na potovu za wazungu. Lengo lingine ni kuhunganisha watu kwa pamoja kupitia Radio, mikutano na mafunzo mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya jamii.Last updated on 2019年03月18日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
UMOJA RADIO
2.6 by MediaHosting LTD
2019年03月18日