Use APKPure App
Get UMOJA RADIO old version APK for Android
Umoja RADIO
Umoja Radio ni kituo cha matangazo ya kiswahili nchini Uholanzi. Moja ya malengo yetu ni kudumisha na kuendeleza lugha yetu ya kiswahili ulimwenguni pote.Lengo lingine ni kusaidia wajane, mayatima kuhusu mambo ya elimu na maitaji mengine. Pia kuonyesha umuhimu wa mila za ki Afrika kwa wazungu na wa Afrika kutambua mila nzuri na potovu za wazungu. Lengo lingine ni kuhunganisha watu kwa pamoja kupitia Radio, mikutano na mafunzo mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya jamii.Last updated on Mar 17, 2019
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Diunggah oleh
ေကာင္းကင္ထက္က ႀကယ္စင္လရိပ္
Perlu Android versi
Android 4.0.3+
Kategori
Laporkan
UMOJA RADIO
2.6 by MediaHosting LTD
Mar 17, 2019